• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

kilimo cha nyanya

 1. Akili 09 Nguvu 01

  Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

  Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na kunishawishi kuingia kwenye kilimo cha nyanya(alinichukua na kunitembeza kweny mashamba ya nyanya na...
 2. kakamkubwa

  Kilimo cha nyanya wakati wa masika

  Habari za weekend wanajamvi. Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na zinazovumilia magonjwa. Natumaini kuwa nitasaidiwa. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 3. J

  Nina heka 1,000 za shamba lenye mto usiokauka maji

  Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza TSH 1,000,000 Kwa Heka 1...
Top