Mkasa: Nilifunga safari kwenda kuonana na demu ambaye hatukuwahi kuonana kabla

Akili 09 Nguvu 01

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
693
1,366
Nakumbuka hii ilikua ni mwaka 2008 kipindi hicho hata Watsap hamna kuna bint mmoja yeye alikua Moshi na mim nlikua Dar.

Picha linaanza anakosea kupiga simu, ananipigia mimi tunaanzisha urafiki baadaye urafiki unanoga tunakua wapenzi wa kweny simu tu hata hatujawai kuonana. Kila mmoja anakua na hamu ya kuonana na mwenzake ila ni mimi ikanilazimu nikafunga safar toka Dar adi Moshi kwa ajili ya kuonana na Mpenzi wangu huyu ambaye sijui yupoje.

Picha linaendelea nimefika Moshi stendi pale nampgia simu kuwa nimefika, namuambia nimevaa hivii na yeye ananiambia amevaa vileee, mara ghafla namuona bint mmoja mnene sana anatokea kavaa vile alivyonambia huku akiongea na simu, mara moja nikajua huyu ndio ninayeongea naye. Kidogo nikimbie afu nizime simu maana mimi na mademu wanene sana hatulali kitanda kimoja.

Hadi hapo nikapiga hesabu ya gharama(Nauli Dar-Moshi(to&fro), lodge na chakula) nikajisemea hapa napambana naye hivyo hivyo alivyo nikapiga moyo konde nikasema "No retreat No surrender" km Mbwai mbwai tunavunja sheria zang kuhusu madem wanene

Picha linasonga, nikaonana nae pale bint alifurai sana wakati mimi sina raha hataa, tukaenda kutafuta lodge baada ya kupata room tukatoka kwa matembezi na kupata chakula. Baada ya hapo mida ya saa 1 jion tunarudi room kuanza shughuli iliyonileta Moshi.

Nilihangaika naye usiku kucha(awa viumbe wanene sana ile sehem(mbunye) inakua imejificha sana) lakin kutokana na Utaalamu wangu kwenye hii kazi nilifanikiwa kumsambaratisha binti alinishukuru sana kuwa tangu aanze leo ndo kafikishwa kileleni.

Ilipofika asubuhi nikaforce safari niondoke nikasingizia kesho yake nina mtihani chuo(Hapa naomba nieleweke; kama binti angekua amenivutia kwa uzuri nilipanga nikae nae siku 2 ndo niondoke) basi nikaondoka ingawa bint alitamani nibaki, basi nilipomuacha tu pale lodge nikafuta na namba yake(sikumpenda kwa kuwa hakua na mvuto kwangu coz ya unene sana na sura ya kawaida).

Baada ya hapo nilipofika Dar bint alinitafuta hakupata response yoyote toka kwangu mwishowe akakata tamaa.

MILIMA HAIKUTANI BINADAM HUKUTANA
Mwaka 2009 nakatiza mitaa ya Keko bora nikiwa na mshikaji wangu wa jina J mara ghafla namuona yule bint wa Moshi niliyempotezea nikashtuka lakin tukaendelea na safar, bint naye aliniona akanipigia simu lakin nikapotezea.

NB: Nilijutia yote niliyomtendea yule bint wa Moshi

Nimeikumbuka hii Stori baada ya kusoma Stori nyingne ya Mdau humu ndani akisema " SIKU ALIPOKUTANA NA DEMU AMBAYE ALIKOSEA NAMBA AKAMPIGIA YEYE"

[HASHTAG]#Kupanga[/HASHTAG] kuonana na Binti ambaye Hamjuani ni kama BETTING kuna Kupata na Kukosa#
 
Mimi nilisafiri kwa treni siku mbili huko soviet. Nafuata demu.
Mara treni likazingua njiani tukakaa hotelini, nikapendwa na kisu kimoja.. Kumbe kile kisu ni jirani na ninapoenda.
Ninapoenda binti alikuwa anaishi na mama yake wawili tu kwenye apartment.

Mama yake kwenye early 50s yake hajawahi kuona mtu mweusi maishani zaidi ya tv.

Mji ulikuwa na skinhead wale wanaoua wageni.
Nilifika kumbe kesho yako ni sikukuu ya hitler.hii ni siku ambayo mgeni akionakana wanachukua roho yake. Iwe mchina mwarabu etc...

Na mama na binti nilienda nao supermarker kununua alcohol.
Kila mtu alikuwa lazima ageuke kuniangalia , kingkong kafika kwenye kimji chao.
Huo mji unaitwa tula unaweza kuugoogle.


Ni stori ndefu sana ila ni real.
Ngoja nimtafute The bold anisaidie kupangilia paragraph vizuri. Ili asinilipishe napitia kwa dada yangu kipenzi Nifah

Nitaanzishia thread ya haya matukio ngoja kwanza nipewe idhini na relato
 
1b415557aecff8b7e7871bf51a6f10da.jpg
 
Back
Top Bottom