Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,398
Habari zenu ndugu Wajasiriamali
Nahitaji kufaham wapi naweza pata Vifungashio vya Nylon (mfano wake km ivi vifuko vya Chumvi au vifuko vya Sukari ile ya Kilo1) ili niweze kufanya Packaging ya bidhaa zinazozalisha shambani kwang
Nahitaji kufanya Packaging rahisi tu katika Uzito wa Kilo 1, kilo 2, kilo 5 na kilo10.
Ahsanteni