Wadau kutokana nauzoefu niliopataka katika biashara ya kupanda miti. Ni nzuri zaid watu wakajiunda kwenye kundi then wakanunua Shamba nakupanda. Nirahic kwenye management nainaitaji mtaji mdogo...
Habari zenu?
Nahitaji Asali halisi (original honey) ambayo haijawa haijachakachuliwa iwe ya nyuki wa kubwa hata wadogo itanifaa pia.
Nahitaji kununua lita moja ila kuna uwezekano wa kuhitaji...
Naomba kujua heka moja inatoa gunia ngapi za shairi????
Na je bei ya shairi kwa sasa sokoni ni shilingi ngapi kwa gunia???
Pia bei ya kitunguu saumu sokoni ni shilingi ngapi kwa gunia...
Habari wana JF! Nafikiri wengi tutakuwa tumeona katika maeneo mengi ya nchi hii watu wakusanya vyuma chakavu na plastiki kwa ajili ya kurecycle na kutengeneza vitu vilivyo bora zaidi...
nimelima mpunga huko katavi mpanda ekari kama 10 pia ninataraji kununua mpunga ili nihifadhi bei ikipanda nauza lkn juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja akaniambia kuwa kuna uwezekano...
Niko mkoani Iringa, naomba kufahamishwa wapi nitapata mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya kutotolesha mayai. Ninahitaji automatic, electronic. Nahitaji kitu genuine na cha uhakika.
Mbwembwe sitaki
Serikali ya kibongo sijui ni lini itamthamini mkulima.
Wana JF nimepima zali la kulima ufuta ila nashukuru Mungu anasaidia unaendelea vizuri.
Ila mashaka yangu ni bei tu sijui itakuaje mwaka huu.
Incubator Yenye Uwezo Wa Kutotolesha Mayai 48 Inauzwa Mkoani Geita ... Bei Ni Sh. 350000/= Tu ... Kwa Yeyote Atakayehitaji Wasiliana Nasi Kupitia Simu Namba : 0766922108 au 0656721710
Shalom wakuu.
Naomba kuuliza juu ya mbegu za matikiti. Nimeelezwa kwa ufupi sana juu ya mbegu inayoitwa "Mwananchi". Nimeambiwa inakubali sana maeneo ya mto Ruvu.
Naomba nipewe darasa juu ya...
wasalaaam!
Ndugu zangu nilikuwa naomba wenye uelewa na Hii biashara ya kufuga Mbwa haswa German shepherd na Doberman kwa ajili ya SECURITY inaweza kulipa......
Wizara ya Kilimo,Mifugo na uvuvi imeahidi kuichukua changamoto ya Magadi Chumvi kwenye mashamba ya mpunga kuwa tatizo la kitaifa linalotakiwa kuingizwa kwenye mipango na sera za kitaifa na...
Wakuu,
Naomba mnijuze kwa mnavyofahamu kuku chotara maana huwa nasikia tu ila sijawahi kuwaona.Naomba msaada juu ya ufugaji wake, chakula chake je wanakula chakula gani , utagaji wake, bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.