Namtafuta mtu mwenye utaalam na Matikiti maji

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
302
200
Ndugu habari za mihangaiko..
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia ya kuona kila mmoja wetu anafanikiwa ktk malengo au kusaidiana ktk ajira ndogondogo.

Tafadhali natafuta kijana mwenye ujuzi na kilimo cha matikiti ili tuongee kama naweza kumwajiri ili tufanye biashara.
For serious na mwenye ujuzi huo anipigie 0714624784.

Wako,
Ktk kjng taifa.
 
Back
Top Bottom