Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ndugu watanzania na serikali yetu kwa ujumla, Mwaka jana kuliibuka ugonjwa ulioathiri baadhi ya mazao sehemu mbali mbali mbali nchini( Arusha Morogoro, Tanga, Iringa na njombe) na uliathiri zaidi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, naamini wote ni wazima na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki ya siku. Bila kupoteza muda napenda kuingia moja kwa moja kwenye dhumuni la bandiko...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana mpenda mabadiliko ambaye nimeamua kugeukia sekta ya kilimo na kujaribu kuwekeza humo. Nimeanza mwaka huu kwa kupanda Mahindi na Soya kwa kilimo cha kisasa lakini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tembelea blog hii utapata habari zote Kilimo Cha Matunda na Mboga Mboga
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jizoeze kuwa unapitia hapa. Welcome to AATF-Africa | AATF-Africa
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza ila natamani nifanye ufugaji huko Mwanza nyumbani ni Bugarika. Nauliza kwa laki na nusu naweza kufuga kuku wa aina ipi na nitapata faida gani, msaada jamani?!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna aina mpya ya ndizi inayoitwa FHIA Ambayo inazaa sana na inahimili maradhi imeanza kulimwa mkoa wa Kagera.Ndizi hii mpya inaweza kupunguza umasikini na kuwa na uhakika wa chakula.Nashauri...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wanJF, ni kwel natafuta mtaalam wa kilimo nifanye nae kazi ya online, ataniandikia magonjwa yote ya mimea na solutions zake pamoja na madawa yake. Na uwe kwel mtaalam na sio magumashi, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jinsi ya kuweka mtego wa kushika ndege aina ya eagle, sio lazima uwe na manati
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari wataalam wa kilimo bora, ufugaji na uvuvi, naomba kufahamishwa ni vipimo vipi ni sahihi kwa ujenzi wa mabanda ya ufugaji wa kuku. Lengo langu ni kufuga kuku 2000, aina ya kuku ni kuroiler...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa wanaohitaji vifarangawakienyeji tuwasiliane wapo kuanzia siku 2 mpaka mwezi mmoja bei zinatofautiana tupo dar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tembelea website hii ask.nahitaji.com kwa kuuliza kuhusu kilimo au ufugaji upate ufafanuzi zaidi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanaJF, nimefungua website mpya ya maswali na majibu kuhusu kilimo na ufugaji. Tembelea KilimoUfugaji .Karibuni wote tusaidiane kuelimishana kuhusu magonjwa ya mimea na wanyama
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heri kwenu wanabodi, Niseme kuwa mimi ni mwalimu mtarajiwa ninayesuburi ajira hivi karibuni, kwa kuwa kuna hali ngumu ya maisha siku hizi hatuwezi kutegemea ajira tuu pekee, nikiwa pia kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Anaehitaji mzigo mkubwa wa asali iliyo bora isiyo na mchanganyiko wowote wa madawa inapatikana. Ni PM
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji msaada wa kufahamishwa bei ya gunia la mpunga toka Kyela kipindi hichi tunachoelekea kwenye mavuno
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnifahamishe sehemu gani kwa hapa Dar ambayo nitaweza kufanya vipimo vya udongo wa shamba langu tayari kwa ajili ya kilimo. Msaada wenu tafadhali.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu mfugaji/msomaji, ninahitaji mayai ya bata mzinga kama 15 hivi ambayo yanafaa kwa uzalishaji Kwasasa nipo dar kama unayo tafadhali ni PM Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa mwenye kujua, naomba aniwezeshe kujua wauzaji wa Jumla wa vichanganyio vya chakula cha kuku. Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, nataka kununua vichanganyio kama vile Mashudu, Mifupa, chokaa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom