Minofu ulaya, mifupa Tanzania

Minofu ulaya, mifupa Tanzania

Jmujun

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
965
Reaction score
525
HABARI wanajamvi,
Napenda kujua juu ya mazao ya uvuvi nchini mwetu. Tuna maziwa, tuna bahari lakini cha ajabu hatuna fishing industry tunaishia kuwaachia exploiters mali na sisi kubaki tukila nyasi na mifupa.

Hivi hao wawekezaji hawajapata faida na sisi kutuachia hata mabaki tukajua ni yetu. nchi hii inaenda wapi? madini wachukue, samaki wachukue, wanyama wetu wanabeba jamani tutaishia wapi..?

Kiukweli TANZANIA SI MAHALA PA KUISHI ILA PAKUCHUMIA MALI
 
Back
Top Bottom