Tujuzane maabara za vyakula vya mifugo hapa Dar

malela.nc

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
250
338
Habari zenu, nlikuwa naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu juu yq maabara za mifugo kwa hapa Dar, mahali zilipo. Natanguliza shukran zangu
 
Nenda wizara ya mifugo pale Tazara Vetenari na sample ya chakula chako watakuangalizia.

Sikumbuki gharama halisi ila ni kati ya 10,000 na 30,000 itategemea unataka kuangalia nini.
 
Back
Top Bottom