Wakuu naombeni mnisaidie utaratibu wa kuweza kupata trademark ya logo yangu pale Brela.kwa mtu yeyote anaweza kuniambia procedure za kupata trademark maana nimeenda brela naona wananizingua tu
Habari zenu wakuu, naomba kupata muuongozo juu ya swala lifuatalo, shambani kwangu nimefunga mfumo wa umwagiliaji kwenye hekari moja na makusudio yangu ilikuwa ni kupanda tikitimaji ila niliingia...
Wanajamvi Habari za mihangaiko ya kupambana na maisha. Naomba msaada wa taarifa ninapoweza kupata drippers kwa ajili ya Kilimo cha bustani eneo la ekari mbili
Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia ,
Contact za mwenyeji yoyote kule...
Wadau naombeni mnipe mustakabali naitaji kufanya ujasiriamali wa kilimo , Ruvu ni sehemu watu wanalima sana hasa hizi mboga mboga na matikikti je kuna mtu anaweza nipa contact za mwenyeji mmoja...
Hello...
Khabar zenu wapendwa..
Nina shamba la ecre nne lipo bagamoyo.. Maji yake yanafika magotini.. Je linafaa kwa kilimo cha mpunga??.. Na je... Ni mbegu gan nitumie??..
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya business! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana...
Ninaomba mtu anayejua kuhusu hili zao anipe details zote kuhusu ili zao kama misimu capital faida challenges na kama eneo la Ruvu linafaa kwa hiki kilimo, madawa n.k kwasababu ningependa kufanya...
Wana JF; Habari ya asubuhi
kama ilivyo heading hapo juu; mimi ni mfugaji wa samaki kwa kutumia ndimbwi la samaki hapa nyumbani; kwa bahati mbaya kwenye dimbwi hilo la samaki vyura wameingia na...
Moja ya kitu kinachohitajika sana na wakazi wa mijini na vijijini ni mboga za majani (green vegetables) kama chinese, figili, mchicha, mnafu, mboga za maboga, matembele nk. Mboga za majani...
Habari ndg wanajamiiforum,
Nani anapajua Kitomindo vizuri? Na je mazao gani yanastawi maeneo yale kando mto Ruvu?
Mwenye idea anieleze jamani nimechoka kukaa town naangaika na ajira za...
Mashirika yaliyochini ya mwamvuli wa mtandao wa AgriProFocus, yanaandaa Jukwaa la vijana lenye lengo ya kuhamashisha vijana kuingia kwenye kilimo biashara kwa kuwakutanisha na fursa mbalimbali...
Habari wadau,
Nashukuru Mungu aliniwezesha kupa shamba la ekari 20 maeneo ya mtibwa morogoro. Kwa muda wa miaka 5 nimekuwa nikilima Kilimo cha kutegemea mvua niliwahi kupata mwaka juzi tu mazao...
Za asubuhi ndugu zangu, natumaini mmeamka salama,
Mimi ni kijana wa kiume nahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo nahisi ndo kitu ambacho kitanifanya nifikie malengo yangu, nimeajiriwa lakini...
Kilimo Cha Tikiti.
Je unataka kujitunza kuhusu kilimo cha matikiti? wasiliana nasi kwenye Whatsapp namba 0683556677 Kwa ada ya shilingi elfu mbili tu uweze kuunganishwa kwenye group. Kumbuka ada...
Wakuu habari
Kwa anaehitaji shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoani iringa wilaya ya mufindi mashamba yapo yanapatikana kwa bei 130000 mpaka 120000 kwa ekari moja kutokana na eneo shamba...
Wakuu habari ya leo,
Naomba anayejua au aliyenavyo vitabu vya kilimo cha.
-kitunguu
-nyanya chungu
-Pili pili
Anielekeze vinakopatikana au ani PM tuongee Biashara kama anavyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.