Habari wanajukwaa ,mi ninatafuta mbengu aina mbalimbali za mazao kama Mbengu za
maboga
bamia
choroko
kunde zile nene
pilipili mbuzi
nyanya za kienyeji
mchicha aina ya supalishe nyeupe na...
Wakuu naombeni mawazo na ushauri wenu, mimi sio mtaalam wa kilimo nimekuwa nalima kienyeji kwa muda sasa, lakini sijapata faida ya kilimo kama ninavyosikia kwamba kilimo kinalipa kama wengi...
Unasimu? Unatumia simu? matumizi yako ya vocha yanazidi au kukaribia 10,000 kwa mwezi? Je umejiuliza ni kiasi gani umeichangia mitandao ya simu? imewahi kukulipa hata sent moja? jibu ni...
Habari wanajf, nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza chaki naombeni kujuzwa chochote mnachofahamu kuhusu biashara hii. Natanguliza shukurani zangu
Ndugu mwana JF.Habari hii ni njema sana. Katika hoteli ya Canivore Arusha tarehe 9 na 10 mwezi wa 4 kutakuwa na mafunzo mazito yatakayotolewa na ENKISUMA TRUST FUND.Mafunzo haya ni ya ujasiriamali...
Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
Habari za majukumu. Naamini kila mmoja anafanya vyema.
Ni kiasi kinafaa kwa kuanza kilimo cha mboga kuanzia mbegu hadi madawa hadi kuvuna.
Nahitaji kuanza kilimo cha mbogamboga. Bado sijapata...
Wana JF kama critical thinkers naomba msaada wenu
Ninataka kuchukua mkopo wa sh milion 25 benk ambao marejesho yake yatakua ni kupitia kukatwa katika mshahara kwa kipindi cha miaka mitatu.
Tatizo...
Wakuu,
Nina Shamba langu lenye ekari 40 maeneo ya mkuranga, Ninataka kusafisha jumla ya ekari 10 ili niweze kujenga mabanda ya mifugo na kupanda mazao machache. Ninaomba msaada mwenye kujua wapi...
Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.
Mhitaji yupo Dar es salaam Kimara.
Wadau ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea kulijenga Taifa.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu ni utaratibu upi unahitajika ili kuruhusiwa kuingiza mayai nchini toka nje ya Tanzania...
Habari wadau. Naomba niulize kati ya kampuni hizi mbili yaani Selcom na Max malipo, ni ipi ina commission nzuri katika miamala yake? Na je zote zinafanya kazi sawa au kuna moja inazidi mwenzake?
Bilionea wa kibongo kupitia taasisi yake pamoja na kampuni binafsi inaitwa Darecha Ltd(micro venture capital firm) wameanzisha shindano la idea za biashara kutoka kwa kampuni/sole traders...
Habari wataalam, nina kuku naisi kawa kipofu gafla ila ana vidonda vyovyote kwenye macho sijui ugonjwa gan umemkuta na mm sio mtaalam kabsa haya mambo, naombeni msaada wa haraka maana kuku...
Habarini wajasiriamali.
Niende Kwenye mada Kabisa.
Mimi ni mwalimu kijana Mdogo,
Na ni Mchanga Katika kazi ambaye sijatimiza Hata mwaka Mmoja kazini hapa Bagamoyo.
Pamoja na majukumu na...
DEO AGRO COMPANY
Ni kampuni mpya ambayo inajihusisha na mambo ya kilimo, kwa sasa imeanza na kilimo cha cha mbogamboga na matunda, kwa kua ndio imeanza imekodi hekari sita kwa miaka mitatu na...
Heshima kwenu wanandugu
Nina shamba nataka nioteshe yale maembe na mapapai ya kisasa yanayozaa yakiwa chini kabisa ila naomba kufahamu
1~Ukubwa wa mashimo
2 aina ya mbolea ya kuoteshea
3Huzaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.