Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nataka nilime mboga mboga nnje kidogo ya jiji la Dar es salaam kisha soko liwe maeneo ya Dar, kwa wazoefu naomba ushauli na maelezo juu ya kilimo hiki cha mboga kama mchicha, chainizi, na majani...
4 Reactions
0 Replies
3K Views
WAKUU HIVI KUNA UWEZEKANO WA KUWA NA KUKU AMBAYE ANAWEZA KUWA MTETEA BAADAE AKAJA KUWA JOGOO KAMA HUYU KWENYE VIDEO
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow JF members,Mimi ni mwajiriwa wa kampuni binafsi..kiukweli nimejibana bana hadi nimenunua shamba (Ingawa ni dogo) heka 2,plan yangu ni kulima mahindi na kufuga kuku wa kienyeji,hivyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
siku chache zilizopita nilienda pale Balton (njia ya Coca cola Dar) kufuatilia agricultural inputs mbalimbali, bahati nzuri nilikutana na mzee mmoja ambaye tuliongea mengi sana. Mojawapo ya kssue...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Mkuu, mambo vipi? Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao. Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo. 1)Acrocarpus (2)Casuarina spp (3)Cedrela...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau za wikiend? Nina shida naomba msaada wenu please, Hivi karibuni nimeamua nami kufuga kuku hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya kujiongezea kipato pia hata kula nyumbani. Kwa kua ndio mara...
7 Reactions
14 Replies
10K Views
Ndg wanajamvi, natumai hamjambo. Ninahitaji mshauri katika mambo ya kilimo cha umwagiliaji. Contact me via inbox. Karibu na asante sana, Josam
0 Reactions
14 Replies
5K Views
mwenye kujua bei ya Walter pump please
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyoeleza....natafuta hiyo kitu kwa ajili ya kuwapa ng`ombe uli wawe wanafanya metabolism kwa haraka....mwenye info zaidi ani pm.....thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kwani huyo kiongozi ama waziri ama mkurugenzi wa Wilaya alikuwepo wakati unaandaa mpango wako W Biashara?! Ndugu wakulima na Wajasiriakilimo wenzetu naomba tuamke tujue biashara zetu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, heshima kwenu na Heri ya Mwaka Mpya! Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu tunakwama katika jitihada zetu za kutaka kujikwamua kupitia Ujasiriamali hususani katika shughuli za Kilimo na...
3 Reactions
12 Replies
11K Views
Kwa wakazi wa Dar naomba kujuzwa nitapata wapi water sprinklers kwa ajili ya kumwagilia shamba la 10 acres, nazingatia ubora zaidi. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wapendwa! Nahitaji kupata ushauri wenu wa kimawazo nimenunua eneo dogo tu lenye urefu wa mita 54 na upana wa mita 24 nahitaji kufanya kilimo cha kisasa cha mbogamboga au...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Wanajukwaa! Nahitaji ramani ya ujenzi wa mabanda ya kuku. Idadi ya kuku ni Elfu Tatu (3,000). Ramani hiyo iwe na sehemu ya kuweka incubators mbili zenye uwezo wa kutotoa mayai 13,000. Iwe...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
HELO HABARI WAJASIRIAMALI WENZANGU Nataka kuanza kilimo cha mazao kadhaa especialy ya matunda kama maembe, mapapai na ya mboga mboga kama bamia, pilipili, nyanya etc sasa sitaki kutumia kilimo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani huyu Msela anavua kwa kutumia nn hapo? Binafsi nimeshindwa kuelewa!!!!!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habar za jioni! nahitaji msaada wa dharura kwa wenye uzoefu. Naomba kujulishwa ni aina gani ya kiuatilifu naweza tumia kupalili mahindi ambacho kinaangamiza ndago na nyasi?, nilitumia 2,4 D...
1 Reactions
6 Replies
9K Views
30,000MT of Red Kidney Beans needed. Is there any Seller out there? PM with price and terms of sale
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini ili kuchagiza na kusaidia kuwezesha Sekta ya...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom