obadia_kabate
Member
- Feb 19, 2016
- 29
- 56
Nimefanikiwa kupata kianzio cha vifaranga vya kuku wa kienyeji ambao nimewakusanya kutoka sehemu tofauti tofauti. Shida yangu ni moja tu muongozo wa jinsi ya kuwafanya wakue vizuri. Nina banda tayari, ila chanjo na madawa kwa ajili ya hawa kuku sina uzoefu wana forum.