Naomba kufahamu heka moja inaingia miche mingapi ya Mihogo

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,305
3,327
Wakuu naomba kufaham kwa anaefahamu, Kama utapanda kitaalamu kwenye heka moja kunaingia mashina mangapi ya muhogo?
 
miche kama elfu nne kwa shamba lenye rutuba njema.
Ok,upana wa shina kwa shina na mstari kwa mstari nao unakuaje?
Samahani nilipitiwa kutokuchanganya hili swali pamoja
 
futi nne kwa nne kisasa/kibiashara inaweza fika tano kwa tano++ inategemea rutuba ya ardhi na jamii ya muhogo husika.
 
Back
Top Bottom