Natafuta mtaalam wa kilimo & ufugaji.

dully santo

JF-Expert Member
Apr 12, 2014
260
334
Hellow JF members,Mimi ni mwajiriwa wa kampuni binafsi..kiukweli nimejibana bana hadi nimenunua shamba (Ingawa ni dogo) heka 2,plan yangu ni kulima mahindi na kufuga kuku wa kienyeji,hivyo nahitaji mtaalam wa kunishauri juu zao la mahindi na changamoto zake...Shamba lipo Pongwe kijiji cha Kinango,nakaribisha patners pia.
 
Wakati unatafuta mtaalamu, pitia pia nyuzi za wataalamu wengine hapo juu zina vitu vizuri sana
 
Mazao mengi yameshachambuliwa na wataalamu humu jamvini. Jaribu kupitia pitia nyuzi zilizopo humu utapata Elimu.
Kuna uzi kuhusu Kilimo cha Mahindi bwana capital anatoa ushauri mzuri. Tafuta uzi wake.
 
Back
Top Bottom