kilimobiznet
Member
- Jun 14, 2015
- 25
- 12
Hivi kwani huyo kiongozi ama waziri ama mkurugenzi wa Wilaya alikuwepo wakati unaandaa mpango wako W Biashara?!
Ndugu wakulima na Wajasiriakilimo wenzetu naomba tuamke tujue biashara zetu tuwawezeshe wakulima na Vikundi vya wakulima kujua namna ya kupanga bei na hata kutoa mapendekezo ya bei elekezi.
Usiinhie shambani ama kuwekeza pasina kupanga bei ya kuuzia kulingana na soko unalotaka (bei inategemeana na umbali, ubora na aina ya uzao wako).
Tuwatake watendaji na hata wakulima na mabwana shamba wasemw bei elekezi...
Bei inatokana na gharama za uzalishaji na hata za soko.
#UpangiweBeiElekeziKwaniKunaBeielekeziyapembejeo?!