essaumgimba
Member
- Jun 21, 2014
- 24
- 10
mwenye kujua bei ya Walter pump please
mkuu unaelekea upo nondo sana juu ya masualA majiNdugu itakuwa ngumu kupata jibu kwakuwa swali lako halijakamilika. 1 unataka kutumia hiyo pump kwajiri ya shughuli gani?. 2. Chanzo cha maji ni kipo sehemu gani? Juu ya ardhi au chini ya ardhi?. 3. Umbali kutoka kwenye chanzo cha maji mpaka hapo kwenye matumizi yako kiasi gani?. Ukieleza hayo ni rahisi kushauriwa mkuu.
Kila lakheri.
Sent from my LG-H635 using JamiiForums mobile app