Habari wanajukwaa,naomba kuuliza kwa yeyote anaejua upatikanaji wa maharage ya kijani (french beans/green beans) hapo bongo.hapa nilipo nayaona yanakuja kutoka kenya,hivyo nahisi hata bongo yanapatikana.Nitashkuru kama **** mtu anajua yanalimwa wapi na bei ni kiasi gani kwa kilo. Ni hayo ya chini kama picha inavyoonyesha.