Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Naona jukwaa hili linazidi kupata umaarufu. Kwa ushauri tu kuna wajasirimali wengi tu wanaokusudia kuanzisha biashara, tatizo baadhi ya bidhaa upatikanaji wake huwa mgumu na pengine gharama na...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanza napenda kushukuru kwa msaada mkubwa ambao nimeupata na nazidi kuupata kutoka kwa members wa jukwaa hili hususani Mr elinino ambae nilifuatilia post yake "nimeamua kulima kwa mara ya pili"...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu salaam! Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie yafuatayo: 1. Ni maeneo gani yanalipa ukipeleka trekta la kukodi? 2. Ni kiasi gani kwa heka moja? 3. Na ni HP ngapi zinaweza kufanya kazi (2wd...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
I know it is heady to mention such a a figure, na nikiangalia kiwango ambacho mimi mwenyewe ninaweza kuwa nacho bado in 5Million TSH kwa hivyo will come clean on my plans. Elimu has been mentioned...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa. Shamba liko nje kidogo ya DSM.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dear all Mimi ni irrigation engineer, natafuta sana software fulani inayoitwa IRRICAD kwa ajili ya irrigation design (pressurized irrigation). Najua humu kuna kila aina ya watu. Kwa hiyo mwenye...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Sera hii imewanufaishaje watanzania wandugu?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai naomba msaada wenu kuku wangu wanadonoana sana sijui ni kwa nini ikiwa mchanganyiko wa chakula ni mzuri nisaidieni wanakwisha kwa kufa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom