Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wafugaji wa kuku ninaomba msaada wa haraka kuku wangu wanateketea. Naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa wa kwenye picha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana-JF naomba msaada, nahitaji sana automatic incubator yenye uwezo wa mayai 96, pia kama kuna muuzaji tutazungumza.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanjamvi habari zenu... Kutokana na ukakasi wa maisha nimeamua kujiajiri katika kilimo naomba msaada wa kupata eneo zuri la mazao ya nataka ambayo nimewaza kuwa na ya kusambaza nafaka katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni kijana miiaka 27 muajiriwa nina uzoefu katika fani za accounting, sales na marketing nipo Dodoma. Nishafanya biashara zangu binafsi nyingi tu ikiwa kilimo, restaurant na huduma za usafi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watafiti wa Mbegu nchini wamebaini kuwepo kwa aina 800 ya mbegu za ngano, huku baadhi ya mbegu hizo zikiwa na uwezo wa kustawi hata kwenye maeneo yenye joto kali hadi nyuzi joto 40, na kufanya zao...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza mbegu za mbogamboga za majani jumla na lejaleja, 1.mbegu ya majani ya maboga. 2. mbegu ya figili. 3. mbegu ya mchicha(super lishe) &)(lishe)
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Vyombo vya serikali na mamla husika chukueni hatua Mimi ni mdau mkubwa kwenye zao la ufuta na nimekuwa nafuatilia sana zao hili kwa muda sasa. kwanza nianze kwa msimu uliopita. Mwaka jana kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua kuhusu utaratibu wa kuwatumia maafisa Mifugo wa serikali. Je wakija kunitibia Mifugo yangu natakiwa kuwalipabei gani?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natoa ushauri kuhusiana na ukulima wa mazao mbalimbali pia usimamizi wa shamba kuanzia kuandaa shamba kupanda mpaka hatua ya uvunaji pia kuchukua rekodi ya ukuaji wa mazao yako lima kwa faida...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari wanaJF niliamua kurudi kwenye uti wa mgongo wa mtanzania na sasa navuna na ninauza vitunguu maji vyekundu(fresh red onion). Kama unaitaji niibox kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
38 Replies
21K Views
Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Urbun Food Project ni aina ya mradi ambao unamanufaa kwa wakazi wa mijini.Nivyema tukatumia maeneo madogo tuliyonayo kuzalisha chakula salama na kwa tija pia.Lengo ni kutumia maeneo madogo ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HABARI wanajamvi, Napenda kujua juu ya mazao ya uvuvi nchini mwetu. Tuna maziwa, tuna bahari lakini cha ajabu hatuna fishing industry tunaishia kuwaachia exploiters mali na sisi kubaki tukila...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Ndugu habari za mihangaiko.. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia ya kuona kila mmoja wetu anafanikiwa ktk malengo au kusaidiana ktk ajira ndogondogo. Tafadhali natafuta kijana mwenye ujuzi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Habari zenu, nlikuwa naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu juu yq maabara za mifugo kwa hapa Dar, mahali zilipo. Natanguliza shukran zangu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa,naomba kuuliza kwa yeyote anaejua upatikanaji wa maharage ya kijani (french beans/green beans) hapo bongo.hapa nilipo nayaona yanakuja kutoka kenya,hivyo nahisi hata bongo...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimefanikiwa kupata kianzio cha vifaranga vya kuku wa kienyeji ambao nimewakusanya kutoka sehemu tofauti tofauti. Shida yangu ni moja tu muongozo wa jinsi ya kuwafanya wakue vizuri. Nina banda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarin ndugu zangu me ni mfanya biashara nafanya biashara ya nafaka na kukufikia popote ulipo na pia kwa ushaur wa biashara ya nafaka pls contact me thru +255719553454/ +255787607207 /...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufaham kwa anaefahamu, Kama utapanda kitaalamu kwenye heka moja kunaingia mashina mangapi ya muhogo?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom