Fursa za mikunde kibiashara, afya na ardhi

kilimobiznet

Member
Jun 14, 2015
25
12
MIKUNDE KWA FAIDA KIBIASHARA, AFYA NA UTUNZAJI ARDHI
imgres

Utangulizi....
Je unafahamu mimea jamii ya mikunde? Je unadhani kuna aina ngapi za mimea jamii ya mikunde ukiachana na mbaaazi, Dengu, Choroko, Maharage, Kunde?

Je unafaham fursa za kibiashara zibnazopatikana katika Kukuza, Kuuza, Kununua, kusafirisha na hata kusindika MIMEA JAMII YA MIKUNDE hapo ulipo?

Je unafahamu kupika ama namna bora ya kula kiafya?

Je unataka habbari zaidi juu MBINU BORA ZA UZALISHAJI NA BIASHARA YA MIKUNDE? Kama uchaguzi wa mbegu, uhifadhi na utunzaji, ushauri wa kitaalamu, mnyororo wa thamani, kupata na kukuza masoko kwa tija zaidi?

Je unataka kufahamu ni mimea gani jamii ya mikunde yenye kuleta faida katika ARDHI na hata AFYA YAKO?

Je ungependa kuwekeza katika moja ya monyororo ya thamani ya mikunde Tanzania na hata duniani?

Kama ndio basi ungana na Eastern Africa Grain Council Kilimo Business and Associates Kilimo Inalipa, Jikite, "Do Agric, It Pays" Campaign Tanzania Graduate Farmers Association- TGFA Agri-ProFocus Tanzania Lishe Bureau
katika MJADALA na mada za ‪#‎KilimoBiasharaMikunde‬ kupiawww.graduatefarmers.co.tz na www.agriprofocus.com/tanzania

Pia tumia fursa hii kukutana na wadau mbalimbali wa mikunde Tanzania na Duniani wakijadili fursa na namna ya kutatua changamoto za kibiashara katika minyororoya thamani ya mikunde, Pia katika kuathimisha‪#‎MwakaWaMikunde2016‬ ‪#‎IYP2016‬ katika *MAONYESHO YA KILIMO BIASHARA TANZANIA* yatakayofanyika kuanzia tar 24th mpaka 25th June Pale Viwanja vya kituo cha utafiti selian

Kwa maelezo zaidi tuma sms/ whatsapp ama piga namba +255753843321 ama +255718664645 email kilimobiznet@gmail.com cc jbngomuo@eagc.org

- See more at: AgriProFocus
 
DONDOO MUHIMU....

Back
Top Bottom