remon
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 295
- 48
Mimi ni wakala wa m pesa ninaye fanyia kazi zangu maeneo ya kariakoo, nina fanya sana biashara cha ajabu siku zinavyozidi kwenda wateja wanaongezeka ila commision inazidi kupungua, ni kitu cha ajabu sana. Unaendelea vodacom kufuatilia wanakuambia we hufanyi kazi wakiwa na maana nahudumia watu wachache sana ni uwizi ulio wa wazi. Kwa wale wote ambao wana biashara hii angalieni tusijekuwa tunawafanyanyia kazi watu.