popo1986
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 1,120
- 372
Wadau naomba ushauri kwani sasa naandaa shamba kwaajili ya kulima matikiti zipo ni mbegu nzuri na tahadhari zake naomba msaada wenu wa mawazo nimeamua kujiajiri katika kilimo. Pia nimeona nichanganye na mazao kama Nyanya na Bamia
Nakaribisha ushauri wenu jamani
Nakaribisha ushauri wenu jamani