janath mabruck
Member
- Mar 30, 2016
- 38
- 12
Kuku kuku wangu mmoja anakoloma kama m2 mwenye mafua
Au Fluban pia ni nzurimkuu nenda duka la madawa ya mifugo mnunulie dawa inaitwa fluquin.Aloevera ni zuri lakini mara nyingi hufanya vizur kwa kuku wazima huwakinga wasipate magonjwa,kwakua huyo tayar anaugua ukitumia hio dawa huyo kuku anapona