Bei za mazao haya sokoni

oriflametz

Member
May 31, 2016
47
12
Salaam,
Nahitaji kuanza biashara ya kuuza nyanya, hoho, vitunguu, karoti, tangawizi na vitu kama hivyo.. Nachohitaj zaid kujua ni bei za mazao hayo sokoni kwa jumla.. Na kama naweza pata toka mashambani kwa dar ni maeneo gani naweza pata kati ya hayo mazao kutoka kwa wakulima wenyewe...
 
mkuu fika sokoni uulize, ila kuwa makini sana. mazao ya mboga mboga yanahitaji umakini sana maana yanaoza.Mimi niliwahi kupata hasara ya zaidi ya 5.m. ila ukiwa makini unaweza kupata faida.
 
Back
Top Bottom