Ukitegemea mshahara tu, kufanikiwa utasubiri sana!

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
HAKUNA anayeweza kubisha kwamba maisha bila kujishughulisha ni magumu sana. Wakati mwingine wapo ambao wanautengeneza ugumu kwa kutopenda kujishughulisha. Wao ni tegemezi kwa kila kitu, yaani bila watu wengine maisha yao hayajakamilika, hili ni tatizo kubwa katika jamii yetu.
Maisha ni kufanya kazi, tena kwa bidii. Wengi walioweka hiyo kama kanuni ya maisha yao wamefanikiwa. Lakini katika suala la kazi kuna zile za kujiajiri na za kuajiriwa. Ninachotaka kukizungumzia leo kinawahusu wale ambao wameajiriwa na wana malengo ya kuwa na maisha yaliyotawaliwa na mafanikio.
Mjasiriamali mmoja maarufu nchini aliwahi kuniambia kwamba, hata siku moja mshahara hauwezi kunitosha. Akaniambia naweza kuwa nalipwa mshahara mnono lakini nikiutegemea huo na nikahisi unaweza kuniwezesha kufanya mambo makubwa katika maisha yangu, lazima nitakwama.

Lakini akaenda mbele zaidi kwa kuniambia kwamba, wengi waliofanikiwa katika maisha yao siyo watu waliokuwa wakitegemea chanzo kimoja cha mapato, walianzisha vyanzo vingi, wakavisimamia kwa umakini mkubwa na leo hii wako kwenye ramani ya watu wenye mafanikio makubwa.

Ukifuatilia utabaini ni kweli kabisa. Waangalie watu kama Said Salim Bakhresa, Reginald Abraham Mengi na wengineo ambao ni mabilionea. Hawa wana mafanikio makubwa lakini wamefika hapo walipo leo kwa kuanzisha vyanzo mbalimbali ya mapato.

Kutokana na ukweli huo, ni vizuri sasa na wewe ukaanza kufikiria chanzo kingine cha mapato ukiachilia mbali mshahara wako unaoupata kila mwezi. Kumbuka kuna mahitaji mengi ya msingi ambayo ukiangalia na gharama za maisha zilivyopanda, unaweza kukuta kila unapochukua mshahara unaishia kwenye kula, kuvaa na kusomesha watoto tu.

Sasa jiulize, furaha yako itakuwa imetimia kwa kufanikiwa kujitimizia mahitaji hayo tu? Huna malengo mengine ambayo ungetamani kuyatimiza yanayohitaji fedha? Naamini yapo na huenda changamoto unayokumbana nayo ni wapi kwa kupata fedha za ziada za kufanya mambo mengine ya muhimu.
Ndiyo maana nasema licha ya kwamba unafanya kazi lakini jitahidi sana kuwa na kijimradi ambacho kinaweza kukuingizia vijisenti ambavyo ukichanganya na mshahara, unaweza ukafanya mambo yakaonekana.

Angalia ni kipi unachoweza kukifanya?
Kikubwa ni kuhakikisha unajiwekea malengo kwamba kutoka kwenye mshahara wako ‘unasevu’ pesa ambayo baada ya muda itakufanya upate mtaji wa kuanzisha biashara nyingine.
Biashara hiyo inaweza kuwa ya genge, duka, saluni, ufugaji wa kuku au nyingine utakayoona inafaa.
 
Ndio hivyo tena sisi wafanyakazi kazi tunasubiri pensheni tufe na umasikini wetu.
 
dawa ni kujiajiri tu..
 
BIASHARA YA MTANDAO NI NINI
ni mfumo wa biashara ya karne ya 21 ambayo inakupa fursa ya kumiliki biashara yako mwenyewe kwa mtaji kidogo na bla kuathili shughuli zako zngne, na hatimaye kujitengenezea kipato endelevu pasipo kutumia nguvu,mda na akili nyingi sana.

RIFARO AFRICA LTD
wao wana sema "SIMU YAKO JEMBE LAKO"
1. Je, umewahi kulipwa kwa matumizi yako ya vocha?
2. Je ,unajua kuwa vocha ni bidha inayoweza kukupa kipato kikubwa cha ziada?

Rifaro Africa ltd ni kampuni ya kitanzania inayofanya biashara ya mtandao kupitia mda wa maongezi(vocha) kwa kushirikiana na makampuni ya TIGO,VODACOM,AIRTEL NA ZANTEL

UHALALI WAKE,
leseni no.178933
Tin no.124-401-917
Brela reg.no 109753
Tcra no.15420

INAFANYEJE KAZI

1.Mfumo huu utakuhitaji kuwa mwanachama hai WA Rifaro, mtumiaji WA vocha NA pia kuwashirikisha ndg,jamaa,na MARAFIKI kujiunga kwenye biashara hii.

UNAFAIDIKAJE
1.kipato cha wiki
Hiki kinalipwa kutokana NA watu wanaojiunga katika timu ya biashara yako kulipwa kwa vizazi 15.

2.kipato cha mwezi
Hiki hulipwa kutokana na matumizi yako ya mda wa maongezi pamoja NA matumizi ya timu yako. Malipo hufanyika kila mwisho WA mwezi.mwanachama anatakiwa awe ametumia Tsh.15000/=

3.UNACHOTAKIWA KUFANYA
Ni kuiona fursa NA kukubali kuwa ni yako,kisha uwe NA mtaji kidogo sana WA Tsh.128500/= kuanza biashara Hii maridhawa

4. UTAKAPO JIUNGA UTAPEWA
a. Namba ya uanachama
b. ATM card (2000/=Salio ndani take)
c. Kitabu cha biashara
d.website( kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako,kuna biashara yako yote)
e.DVD ya mafunzo
f.5000/= Salio vocha
Vyote hivyo hutolewa bure kabisa Mara baada ya kujiunga.

SASA UTAJIUNGAJE?

Popote ulipo Tanzania tumekufikia, tuna vituo vyetu karibu nchi nzima

Unachotakiwa ni Tsh.128500/=,kitambulisho chako, simu yako ya mkononi(yoyote) namba yangu ya uanachama ni OBADIA LUYAGAZA -R528559

WASILIANA NAMI KUPITIA
obadialuyagaza@gmail.com
0657774409
0753416810
Wakati wowote.
 
Kuwa na kazi na kibiashara pembeni kwa kuanzia, kazi itakupa stability siku za mwanzo, hata ukitaka kuchukua mkopo uongeze biashara kazi itakupa guarantee. Huko mbele biashara ikiwa stable unaweza kuamua ni nini cha kufanya. Ni kweli kutegemea mshahara peke yake utaishi maisha ya kibiriti, kuzima na kuwasha.
 
Back
Top Bottom