Msaada juu ya Rufiji river development basin

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Habar za jioni ndugu zangu,

Mimi ni kijana nahitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji.

Natakiwa nianzie wapi?

Je, ni kweli hawa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na vitendea kazi vya kilimo?

Kama ni kweli mchakato unaanzaje?
 
Hiyo ni taasisi bila shaka? Hawana website/ukurasa kwenye social media yeyote? Anzia hapo......naoma post yako ipo toka tar 17.
 
mtafute Evans 0654900020 ana sehemu kubwa, labda mnaweza kushirikiana... ubarikiwe
 
Nitafute kwa namba hizi0685659680 mm nipo rufiji na ninaeneo lipo kandokando ya mto tunaweza kushirikishana mawaxo
 
Back
Top Bottom