Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habarini wana Jf, Napenda kuwakribisha watu wote ambao wanahitaji kupimiwa viwanja vyao kwa gharama nafuu ili kuongeza thamani ya viwanja vyao, kwa yeyote aliye atakaye hitaji tafadhali aniPM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba mdau anaejua naweza pata wapi aina hiyo ya mbegu anijulishe tafadhali,, mimi niko mbeya. Aksante
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wana jamvi, Hebu tulitazame na tulijadili jambo hili, mwaka huu nilifanikiwa kulima kama eka 2 za mpunga, na nimefanikiwa kuvuna gunia zangu 50. Sasa wakati nasafirisha mazao yangu hayo kutoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wafugaji, natafuta mbegu ya kuku aina ya RHODE ISLAND RED kama ni wewe au unamfahamu mtu anauza vifaranga vyake naomba msaada. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji mwakani ntakapo maliza elimu yangu. Je naanzaje anzaje na mtaji upi unahitajika katika kufuga kuku wa kienyeji pia malezi yao yanakuaje
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba mwenye uzoefu na ufugaji wa samaki naomba anipe ushauri nini cha kufanya !! Thanks
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu,naomba msaada ya mtaalamu wa ufugaji kuku wa kienyeji aina ya kuchi,gharama na bei yake sokoni
1 Reactions
15 Replies
12K Views
Habari wanaJF, Naomba mwenye experience na usafirishaji wa mazao kwa kukodi gari ni shiling ngapi mfano toka Morogoro kwenda Dar? Na pia inawezekana kusafirisha mazao kama matikiti fuso nzima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NJIA YA KUWA NA MAISHA BORA Njia moja ya uhakika ya kuwa na maisha bora ni kuyaelewa maisha kwanza. Bila ya kufanya hivyo utateseka sana na maisha haya. Bila ya kuelewa maisha kila mara utasema...
5 Reactions
11 Replies
7K Views
Wana JF kama unahitaji dagaa wa chakula cha kuku tuwasiliane 0713563074. Asante
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli. Hata kuku...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Habar ndugu wana jamii, Naombeni mawazo yenu nahtaj kuanza kilimo cha matikiti maji kule mikese Morogoro, mwezi huu wa sita! Nifanye nini ili niweze kufanikisha malengo yangu Msaada jamani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tips to getting more eggs from your chickens So you think your chicken aren’t laying well? Maybe they’re not. Laying eggs is a daylight sensitive business. Commercial egg production uses...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ni mdau wa kilimo, naomba mwenye uelewa na kama picha ipo tupia hapa, lengo la kuanzisha maada ni kurahisisha kupatikana kwa taarifa muhimu kuhusu water pump hivyo inaweza kuhamasisha vijana...
1 Reactions
17 Replies
10K Views
Jamani naombeni Ushauli, nianzie wapi nataka kuanza kilimo cha miti mkoa wa morogoro..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya kilimo! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
GHARAMA ZA UENDESHAJI WA GARI - APRIL 2012. Watu wengi wemekuwa na mtazamo kwamba gharama ya uendeshaji wa gari linapotembea ni mafuta yanayotumika tu. Gharama za uendeshaji wa gari...
10 Reactions
27 Replies
9K Views
Ndugu wanajamvi nimekuja kwenu naombeni msaada wa jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama kwani napata shida sana kutoka kwa wauzaji kutokana na bei zao kuwa juu mara kwa mara.
0 Reactions
27 Replies
29K Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie kama mnawajua vijana wachapa kazi wanaoweza kufanya kazi ya palizi kwenye shamba langu la nanasi ambalo lipo Bagamoyo, Fukayosi. Nahitaji kufanya palizi kabla ya mvua...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari za leo wana jamvi, Mamlaka ya Hali ya Hewa imetoa tamko/ kama sio tangazo la kuwepo kwa mvua nyingi sana kwa kipindi hichi cha Vuli kinachokuja, nadhani ni Oct - Dec flani hivi... Sasa Nina...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom