Ugonjwa gani huu kwa ng'ombe?

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
1,159
805
Hatua zipi za kuzingatia ukitaka kufuga kuku wa kienyejihabari wana bodi, nimekuwa mfugaji kwa siku za hivi karibuni, hata hivyo nimepata changamoto ya kifo kwa ng'ombe mmoja alionyesha dalili zifuatazo;

-alipoteza hamu ya kula
-kushindwa kutembea
-kukojoa damu

Hali hii nimeona kwa siku 2 tu akawa amepata madaktari, walinipa dawa tu lakini sijajua tatizo ni lipi maana kila mmoja ana lake analoniambia
 
Back
Top Bottom