Naomba msaada wa mawazo. Nimenunua shamba eneo ambalo nimefanya utafiti nikagundua underground water iko karibu sana. Mpango wangu ni kuchimba kusima kwa ajili ya kufanya irrigation farming. Nimegundua sehemu hiyo maji ya kuchimba kusima yana chumvi. Nimeona hilo kwa jirani ambaye amechimba kisima. Je chumvi hiyo utaathiri kilimo ninachotaka kufanya?