Ushauri kilimo na soko la pili pili mbuzi

BizUsual

Member
Jun 4, 2016
38
29
Nataka nijikite kwenye kilimo cha pili pili mbuzi,naomba ushauri kwenye hili kuanzia kwenye kilimo
mpaka soko lake...
 
Uko mkoa gani ndugu ,zao mpaka sasa linabei nzur ni pilipili mbuzi ila inategema na uliko na hii haswa ni baada ya kuingia ugonjwa wa mnyauko wa miche ya pilipili na jamii nzima ya solanacea(pili pili zote,nyanya,ngogwe,biringanya etc) ,pili ukosefu/uhaba wa mbegu yake kuifanya wachache wailime
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom