Dilemma.... Msaada wa haraka tafadhali

genious wa kijiji

Senior Member
May 1, 2014
173
249
Nahitaji kuanzisha poultry project ya kuku walioboreshwa (machotara). Nipo singida lakini sijui nianzaje?
1. Ninunue vifaranga 150 kisha niwatunze au
2. Ninunue kuku jike 20 na jogoo watano?
...Nataka kuanza mapema iwezekanavyo
Asanteni
 
Sasa mradi kama huo ndio unasema MSAADA WA HARAKA TAFADHALI! subiri watu wabungue bongo wakuletee ushauri wenye tija
 
labda ushauri wangu tu. nadhani unataka kujua kipi bora kati ya hizo njia mbili.
kusubiri kuku watage mpaka waangue au kama utawaangulisha labda yaweza kuchukua muda mrefu kidogo.
yaweza kuwa njia bora zaidi.

ila kwa ishu ya mda ni bora ununue tu moja kwa moja vifaranga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom