Kuku wangu wa mayai wanataga mayai madogo

Hikma

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
497
415
Habari zenu wadau wa kilimo na ufugaji,

Naombeni msaada wa ushauri juu ya nini cha kufanya kwa kuku wangu wa mayai.
Wameanza kutaga takriban miezi mine iliyopita. ukubwa wa mayai umekuwa ukiongezeka hadi kufikia umbo la kuridhisha. Lakini kwa mwezi huu wa sita wameanza kutaga mayai katika ukubwa hafifu sana jambo ambalo linaniharibia soko.

Tafadhali naomba ushauri nifanye nini?
 
Back
Top Bottom