Mashamba ya kukodi Ruvu

Mashamba ya kukodi Ruvu

zoeman

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
47
Reaction score
2
Habarini wajasiriamali wenzangu, naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kupata shamba la kukodi ruvu. Asanteni kwa msaada wenu.
 
Habarini wajasiriamali wenzangu, naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kupata shamba la kukodi ruvu. Asanteni kwa msaada wenu.

Mashamba ya kukodi yapo huko Ruvu.
Nitakutumia PM ya contacts za mwanakijiji mwenye mashamba hayo.
 
Kaka selleman ni kwa ajiri ya kilimo cha matunda na mbogamboga.
 
Asante sana rocky huo utakuwa ni mwanzo mzuri, nasubir hizo contact PM. Pia kama una kingine cha kuongezea kuhusu mashamba ya ruvu na uzoefu wako juu ya kilimo cha umwagiliaji pale ruvu waweza kushare kwa ajir ya manufaa ya wengi
 
hapo ruvu huwa wanalima nn?je umwagiliaji wanatumia nn?kuna scheme ya umwagiliaji uliojengw na serikali au wahisan?
 
Nimeshakutumia contacts za mwenye masahamba ya kukodi huko Ruvu.
 
hapo ruvu huwa wanalima nn?je umwagiliaji wanatumia nn?kuna scheme ya umwagiliaji uliojengw na serikali au wahisan?

Huko Ruvu wanalima mpunga (wakati wa masika), na baada ya kuvuna mpunga, wanalima nyanya, bamia, tikiti na mazao mengine ya muda mfupi.
 
ROKY ni pm pia namba za mwenye mashamba kama ana maeneo makubwa samahani lkn
 
Jamani mpenda maendeleo mwenzangu nami nahitaji shamba la kukodi tafadhali nitumie nami no ya mwenye shamba plz
 
Back
Top Bottom