Mtu anakufuata anaomba msaada wa kujikwamua kiuchumi. Unamuuliza unao uwezo wa kufanya nini wewe mwenyewe tena vizuri. Anajibu chochote. Nalikataa hilo jibu namwambia chochote si jibu sahihi...
Habari zenu wadau wa kilimo na ufugaji,
Naombeni msaada wa ushauri juu ya nini cha kufanya kwa kuku wangu wa mayai.
Wameanza kutaga takriban miezi mine iliyopita. ukubwa wa mayai umekuwa...
Jamani baada ya kuona maisha ya mshahara ni majanga tuu, nikaamua kujiongeza nifanye ujasiriamali. Nikapata wazo, na hili wazo nimelipata baada ya kusoma sana post za hapa JF kuhusu ujasiriamali...
Habar za jioni ndugu zangu,
Mimi ni kijana nahitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji.
Natakiwa nianzie wapi?
Je, ni kweli hawa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na...
Salaam,
Nahitaji kuanza biashara ya kuuza nyanya, hoho, vitunguu, karoti, tangawizi na vitu kama hivyo.. Nachohitaj zaid kujua ni bei za mazao hayo sokoni kwa jumla.. Na kama naweza pata toka...
Naomba msaada wa mawazo. Nimenunua shamba eneo ambalo nimefanya utafiti nikagundua underground water iko karibu sana. Mpango wangu ni kuchimba kusima kwa ajili ya kufanya irrigation farming...
MIKUNDE KWA FAIDA KIBIASHARA, AFYA NA UTUNZAJI ARDHI
Utangulizi....
Je unafahamu mimea jamii ya mikunde? Je unadhani kuna aina ngapi za mimea jamii ya mikunde ukiachana na mbaaazi, Dengu...
Naomba kuuliza anayefahamu kuhusu soka la soya
Maana kijijini huku tunauza kilo 1000|=
Naomba anayefahamu bei toka kwa makampuni ambao ni wanunuzi wa soya
Nimejitahidi kumaliza panya hawa lakini naona inakuwa KAZI ngumu sana,
kwani wanakula mazao chini kwa chini unachokuja shtuka ni mmea unadondo tu.
Ufumbuzi tafadhali.
Natamani nipate mlinzi wa...
HAKUNA anayeweza kubisha kwamba maisha bila kujishughulisha ni magumu sana. Wakati mwingine wapo ambao wanautengeneza ugumu kwa kutopenda kujishughulisha. Wao ni tegemezi kwa kila kitu, yaani bila...
Si kazi ya wanawake tu kama ilivyozoeleka hapo awali, bali ni kwa msaka pesa yeyote aliye serious na kazi yake.
Nilihudhuria mara kadhaa ktk semina za fani hiyo pamoja na vinginevyo, na baada ya...
Poleni na mapambano na mikikimiki ya uzalishaji kama ilivyo utamaduni wa wanajukuaa hili( ijapokua kule Japan mtu anayapambana haambiwi pole bali anaambiwa pambana au kazana)
Naomba kujulishwa...
Ndugu wanajamii, nimeshawishiwa mara nyingi na rfiki zangu ili niingie kwenye biashara ya forever living lakini kila nikijaribu kufanya uchunguzi sipati picha kati ya namna biashara inavyoendeshwa...
Naomba kwa anayejua anifahamishe! Uwa wananza kutaga kwa muda gani.. Na kuku mmoja anataga mayai mangapi kwa siku!... Pia kuhusu chanjo zao dhidi ya magonjwa!.. Msaada wana JF.
Habari za Leo wanabodi? Ninaamini JF ni kisima cha utaalam. Ninaomba kueleweshwa namna ya kuanzisha kilimo cha greenhouse. Pia gharama zake, upatikanaji wa vifaa na pembejeo kwa hapa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.