shilelandumi
New Member
- Mar 18, 2016
- 4
- 17
Wakuu naombe mnijuze faida za ufugaji huu wa kisasa wa kuku wa mayai kwenye cages! Nimekuwa mfugaji kwa muda kidogo ila tatizo ni kuku kudonoana, nimesikia ufugaji wa cages unamaliza kabisa hilo tatizo pia ubora na wingi wa mayai, kwa wale wenye uzoefu naomba mnijuze kama kuna ukweli kwani ununuzi wa cages ni gharama kwa kweli...