Vitu vya kuzingatia unapoanzisha biashara ya kuku wa kienyeji

khetewesa

Senior Member
Jul 30, 2012
112
25
Habari Wataalam

Nampango wa kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji hasa nikijikita kwa mazingira nilionayo. Ila nilitamani kufuga angalau kitaalamu, sio ili mradi nimewaweka tu nyumbani.

Kwa wale ambao wamewahi kufuga hawa kuku kwa wingi, nini mahitaji ya msingi kabisa ninapoanzisha? Mfano mazingira ya kuku wanapohifadhiwa yanapaswa yawe vipi? Chakula wale kwa utaratibu gani na chakula gani kitawezesha vifaranga kukua haraka, na kuku wenyewe kutaga kwa wingi? Chanjo/ madawa yepi ya kuzingatia? Uundaaji wa banda uzingatie vitu gani....

Msaada wa mawazo tafadhari.
 
tafuta uzi unaitwa "unataka kuwa tajili
mwongngozo wa kufuga kuku w kinyeji"

na uzi wa jamaa anaitwa kubota
unaitwa "zijue mbinu zangu za ufugaji wa kuku wa kienyeji"
 
Back
Top Bottom