Msaada unahitajika tafadhali!

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu wote!

Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu, mtulivu na mwenye kujituma nimemaliza mwaka jana chuo (2015), bachelor degree of science in food science and technology nipo kwenye mchakato wa kutafuta ajira sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa na muda unazidi kwenda nimepata wazo la kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kenyeji, chotara au wanyama (broilers) ili niweze kujipatia kipato huku nikiendelea kutafuta ajira ila tatizo niliokua nalo ni sina eneo (mabanda) ya kufugia hao kuku. Naombeni msaada wenu jamani katika kuleta maendeleo ndiyo naanza maisha.Nipo Dar es salaam kwa sasa namba zangu 0758 106 501
 
Ongera kijana, wengi wanaomaliza vyuo wanakuwa na fikra finyu sana kwenye upande wa kuajiajiri wamekaa kutengemea ajira tu na ajira zenyewe zimeota mbawa. Pitia mabandiko kwenye kilimo na ufugaji kuna mada ya kutosha kuhusiana ufugaji wa kuku. Utapata idea nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom