Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari za leo wadau wa JF.. Kwanza niwape pongezi wadau wote kwa ushirikiano na michango yenu mnayoitoa kila siku. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mdau yeyote anawafahamu watu ambao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inakuaje bibi kule kijijini asiyejua kusoma wala kuandika anaweza kufuga ng’ombe na kuku kuliko ‘msomi’ mwenye digrii ya mifugo anayelia njaa na hajui nini cha kufanya? Inakuwaje mmachinga darasa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naomba msaada wenu nimepata mkoponwa Tsh Milion10 na ninataka kufanya biashara na kuweza kurudisha iyonpesa haraka. Je nifanye biashara gani ambayo itaniingizia fedha za alaka...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwanza habari zenu wanajamvi Kiufupi mim ni kijana baye nimeajiriwa na kwa sasa nalipwa kama laki 2 kama takehom yangu sasa kwa jinsi maisha yanavyokwenda nahisi laki hizobhazinitoshelezi kufikia...
4 Reactions
48 Replies
11K Views
Habari wataalam wa kilimo.. Naomba msaada kwa mwenye utaalam wa kuchora mifereji kwa ajili ya kumwagilia shamba... Nipo mkuranga pwani.. Mwenye uzoefu tuwasiliane ntamlipa..
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu wote! Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu, mtulivu na mwenye kujituma nimemaliza mwaka jana chuo (2015), bachelor degree of science in food science and technology nipo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Wapendwa wana jamvi wenzangu habari za majukumu?.Ninaomba yeyote mwenye utaalamu wa Teknolojia ya kutengeneza WINE YA NDIZI,Anisaidie kupitia JF.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wana jf ninaomba mnisaidie athari kuu tano za mazingira na changamoto tano unazoweza kuzikabili katika utekelezaji wa shughuli za mazingira
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni ndugu zangu,mimi ni kijana wa kiume naishi arusha,naomba ufafanuzi juu ya kilimo cha matikiti maji,naomba kujua mfumo sahihi wa kilimo hichi,gharama zake,ardhi na hali ya hewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wataalam Nampango wa kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji hasa nikijikita kwa mazingira nilionayo. Ila nilitamani kufuga angalau kitaalamu, sio ili mradi nimewaweka tu nyumbani. Kwa wale...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Vifaranga wangu wanavimba vichwa sehemu za jicho kwa mwenye utaalam anisaidie huu no ugonjwa gani na tiba yake ni ipi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamvi nilikua nina shida ya kupata elimu kamili ya kuku wa kisasa wa mayai na sehemu naweza kupata mbegu bora ya hao kuku iliyo imara Na kama kuna thread yoyote ya kunisadia zaidi nitashukuru
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jinsi ya kuandaa viota vya kuku Kuku anapotagia porini, mayai huliwa na wanyama kama vile nyoka na wengineo. Kuku pia anaweza kudhuriwa na wanyama hao na wakati mwingine kuibwa. Viota ni mahali...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Nataka nijikite kwenye kilimo cha pili pili mbuzi,naomba ushauri kwenye hili kuanzia kwenye kilimo mpaka soko lake...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Mimi ni wakala wa m pesa ninaye fanyia kazi zangu maeneo ya kariakoo, nina fanya sana biashara cha ajabu siku zinavyozidi kwenda wateja wanaongezeka ila commision inazidi kupungua, ni kitu cha...
1 Reactions
20 Replies
15K Views
Wadau naomba ushauri kwani sasa naandaa shamba kwaajili ya kulima matikiti zipo ni mbegu nzuri na tahadhari zake naomba msaada wenu wa mawazo nimeamua kujiajiri katika kilimo. Pia nimeona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Habarini za majukumu? Husika na kichwa cha habari hapo juu, wakuu ningependa kujuzwa bei stahiki za ufuta ama soko lake kwa kuuza kwa jumla Dar es Salaam. Natanguliza shukrani zangu za...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nahitaji kuanzisha poultry project ya kuku walioboreshwa (machotara). Nipo singida lakini sijui nianzaje? 1. Ninunue vifaranga 150 kisha niwatunze au 2. Ninunue kuku jike 20 na jogoo watano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatua zipi za kuzingatia ukitaka kufuga kuku wa kienyejihabari wana bodi, nimekuwa mfugaji kwa siku za hivi karibuni, hata hivyo nimepata changamoto ya kifo kwa ng'ombe mmoja alionyesha dalili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuku kuku wangu mmoja anakoloma kama m2 mwenye mafua
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom