mbwadinho Senior Member Jun 29, 2016 180 102 Jul 1, 2016 #1 Vifaranga wangu wanavimba vichwa sehemu za jicho kwa mwenye utaalam anisaidie huu no ugonjwa gani na tiba yake ni ipi
Vifaranga wangu wanavimba vichwa sehemu za jicho kwa mwenye utaalam anisaidie huu no ugonjwa gani na tiba yake ni ipi
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 32,821 34,738 Jul 1, 2016 #2 mbwadinho said: Vifaranga wangu wanavimba vichwa sehemu za jicho kwa mwenye utaalam anisaidie huu no ugonjwa gani na tiba yake ni ipi Click to expand... Mi siyo mtaalamu ila ningeshauri useme kama ni vifaranga wa kuku, bata au ndege wengine
mbwadinho said: Vifaranga wangu wanavimba vichwa sehemu za jicho kwa mwenye utaalam anisaidie huu no ugonjwa gani na tiba yake ni ipi Click to expand... Mi siyo mtaalamu ila ningeshauri useme kama ni vifaranga wa kuku, bata au ndege wengine
ALF JF-Expert Member Apr 17, 2011 207 137 Jul 1, 2016 #4 Nafikiri itakuiwa ni upungufu wa Vitamins , nakushauri Beba mmoja peleka kwenye duka la madawa ya mifugo, utapata msaada.
Nafikiri itakuiwa ni upungufu wa Vitamins , nakushauri Beba mmoja peleka kwenye duka la madawa ya mifugo, utapata msaada.
eligi karoli Member Jun 10, 2016 57 14 Jul 1, 2016 #6 Pia twang twang kiasi tena uchanganye kweny chakula chao then WAP watakua good Mkuu but wawahi mapema
Pia twang twang kiasi tena uchanganye kweny chakula chao then WAP watakua good Mkuu but wawahi mapema