Elimu bora ya kufuga kuku wa kisasa wa mayai na kupata mbegu bora

The advisor

Member
Aug 10, 2012
13
5
Wana jamvi nilikua nina shida ya kupata elimu kamili ya kuku wa kisasa wa mayai na sehemu naweza kupata mbegu bora ya hao kuku iliyo imara

Na kama kuna thread yoyote ya kunisadia zaidi nitashukuru
 
Habar yako advsr kweli mimi ninao hao kuku lkn sijajua bado pia kuhusu mbegu bora tusubiri wakuu waje maana mimi pia ninachangamoto nao nahitaji nipate elimu juu yakuwatunza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom