Kumwagilia kwa njia ya mifereji

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
474
Habari wataalam wa kilimo..
Naomba msaada kwa mwenye utaalam wa kuchora mifereji kwa ajili ya kumwagilia shamba...
Nipo mkuranga pwani..
Mwenye uzoefu tuwasiliane ntamlipa..
 
Mkuu hiyo ni simple ukiingia YouTube hili ujifunze kwa kuona video kabisa, zipo video nyingi sana ukiziangalia tu unaelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom