Unataka limia wapi/ mkoa gani na kuna hali/ri gani ya hewa huko kwa kipindi hikiHeshima kwenu ndugu zangu..
Me napenda kuuliza hivi siwezi anza kulima vitunguu kipindi hiki..?
Kuanzia mwezi huu
Kwa morogoro mwezi July unaweza panda tuu cha msingi kuhusu mvua hakikisha maji hayata tuama pia usipande kwenye mkondo wa maji kozi ikitokea ikanyesha vitazongwa. For emergency you will have to prepare for fungicides hasa botrytis na insecticides koz nikipondi ambacho wadudu huwa wengi.
Lkn tambua ukipanda mwezi huu (July) vitatoka October au Novemba hiki kipindi Vitunguu huwa vingi sana kiasi kwamba bei huwa chini vinginevyo hifadhi uje kuuza mwezi February hadi June.
Changamoto Vitunguu mbegu nyingi huweza kuhifadhika kwa muda usio zidi miezi mi3 mfano Red Bombay inachukua muda hata miezi miwili haifiki
wewe huna connections za sudan tufanye biashara hiiUnaweza kulima tu mkuu hakuna tatizo, hila kama ulivyoshauriwa hapo juu ni ushauri mzuri.......kuhusu bei vikiwa vingi sokoni ujiandae kuuz 80,000 kwa gunia na sio 230,000 kama vikiwa kwenye muda wake mzuri.
But kama utalima ekari kuanzia 3 na ukavilima kibiashara kama inavyoshauriwa basi hata ukiuza kwa bei ya hasara niliyoitaja hapo juu ujue kwako bado itakua faida ndio uzuri wa kitunguu.
Pia kuwa makini na madawa na mbolea maana huu msimu wa baridi magonjwa huwa hayachezi mbali.
NOTE:
Kama unaweza kuwa na access na watu wa sudan kule gunia huwa likifika tu starting price ni $320 hapo hakuna bargaining ni unaramba chako unaondoka.
Ahsante sanaaa mkuu..nmekupata sanaaKwa morogoro mwezi July unaweza panda tuu cha msingi kuhusu mvua hakikisha maji hayata tuama pia usipande kwenye mkondo wa maji kozi ikitokea ikanyesha vitazongwa. For emergency you will have to prepare for fungicides hasa botrytis na insecticides koz nikipondi ambacho wadudu huwa wengi.