Vvip
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 190
- 84
Habari za jioni ndugu zangu,mimi ni kijana wa kiume naishi arusha,naomba ufafanuzi juu ya kilimo cha matikiti maji,naomba kujua mfumo sahihi wa kilimo hichi,gharama zake,ardhi na hali ya hewa sahihi,aina ya mbegu,pamoja na soko la zao hili,kwa mwenye kufahamu naomba ushauri katika hili.