derickmashauri Member Jul 10, 2015 14 0 Jul 4, 2016 #1 wana jf ninaomba mnisaidie athari kuu tano za mazingira na changamoto tano unazoweza kuzikabili katika utekelezaji wa shughuli za mazingira
wana jf ninaomba mnisaidie athari kuu tano za mazingira na changamoto tano unazoweza kuzikabili katika utekelezaji wa shughuli za mazingira
Hornet JF-Expert Member Apr 29, 2013 26,303 50,470 Jul 4, 2016 #2 Athari za mazingira kwa nani? au unazungumzia namna mazingira yanavyoathirika na shughuli za binadamu?
Athari za mazingira kwa nani? au unazungumzia namna mazingira yanavyoathirika na shughuli za binadamu?
derickmashauri Member Jul 10, 2015 14 0 Jul 4, 2016 Thread starter #3 Yani athari za mazingira tu kila sehemu