noel2512
Member
- Feb 26, 2015
- 80
- 14
Habari za leo wadau wa JF..
Kwanza niwape pongezi wadau wote kwa ushirikiano na michango yenu mnayoitoa kila siku. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mdau yeyote anawafahamu watu ambao wanashughulika au wanaweza kusafirisha kuku wazima kutoka Kenya kwenda Tanzania. Na kama kuna viable vyovyote vinahitajika kwenye hili kwani nimeona watu wanaleta sana kuku wa Kuroiler ila snida yangu mie ni han wahusika ambao wamejikita kwenye usafirishaji wa hawa ndege please. Nitashukuru kwa msaada wowote nitakaopata..
Asanteni..