Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau nahitaji kujifunza hii software ya ArcGIS lakini sijui pakuanzia, ushauri wenu tafadhari.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wakuu Simu tajwa hapo juu.. Hatimaye Nimeweza kui unlock bila kutumia PC sasa naweza kutumia mitandao yooote .... Shukran ..
3 Reactions
51 Replies
8K Views
Kama heading inavyosema hapo juu, katila pita zangu nilikutana na simu ya samsung grand prime plus. Awali ilinivutia kwa mwonekano wake. Ila nikaamua kuzama mtandaoni kuona specs zake ndo nikaona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za usiku wadau, Tafadhali naomba kuelekezwa kama kuna sehem kwa hapa DSM wanatoa short course ya graphic designing na video editing na bei yake ikoje? Natanguliza shukran na niwatakie...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari jamani nmeletewa Kazi ya kuresize passport size iwe katika KB4 naombeeni msaada program itafanya Kazi kwenye computer kama ikishindikana hata kwa simu Naskia kuna MICROMEDIA FIREWORK 8...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za Leo wana JF Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200 Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini SIM network unlock PUK Naomba msaada wenu wataalamu...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu habari za jioni Naomba kwa wenye uelewa na mambo ya computer wanisaidie katika hili Nina pc yangu aina ya lenovo G50 inatatizo 1.kuwaka inasumbua yani ukiiwasha inakuandikia jina la...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau naona simu yangu haipatani kabisa na IOS 10 maana at first nilipoaupdate to iOS 10 music app iliacha kufanya kazi ila juzi nimefix tatizo hilo kwa kuupdate to iOS 10.2.1 ikaanza...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Wakuu habar zenu,nasomea automobile engineering naomba kufahamishwa ninunue laptop yenye uwezo gani na brand gani ambayo itakidhi shughuli zote za masomo yangu.Nina bajeti ya 400000/= na kama...
1 Reactions
71 Replies
14K Views
habari za mda huu wapendwa kama thread inavyojieleza hapo juu jaman mm ni mjasilia mali wa kuingiza nyimbo kwenye simu na libraly hapa mkoan kwetu sasa kuna mteja kaniletea memory card ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada kwa anaye fahamu namna ya kutoa pesa ulizotumiwa kutoka mitandao mingine kwa njia ya SMS ambapo unapata sms uende kwa wakala wa M Pesa ndan ya siku saba
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Naitaji kwa kufanyia majaribio ya ya ulinzi wa ghetto langu.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wana bodi. Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimekuwa natumia JamiiForums App niliyoipakuwa toka google store. Lakini kwa muda kama wa wiki mbili hivi kila nikiifungua inaleta habari ya...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Naulizia kama itafanya kazi bongo nimeikuta inauzwa ebay na inaruhusiwa kuuzwa mpaka tanzania imetajwa pale DVB-T2 High Definition digital terrestrial receiver MPEG4 TV Receiver For Africa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
wakuu naombeni msaada mana niliweka mobile ant thief kwenye cm yangu siku za nyuma kidogo sasa baada ya kubadilisha line tu simu inaniambia privacy protection pasword ambazo nimeshazisahau naitaji...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za leo Waungwana Samsung s3 imekata network ghafla na sijui sababu ni nini. Naomba tupeane ujuzi hapa ili niweze kuokoa simu yangu
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Nimenunua flash GB 64, nimeweka PICHA na video nikichomeka kwenye TV haionekani kama flash, nikiiiweka kwenye PC inapiga kazi kama kawaida. Msaada ili niweze kuitumia kwenye TV. Nyingine zinafanya...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kuna hizi simu za wagiftishe zinatozotolewa na tigo ambazo SIM slot moja iko customized kwa ajili ya tigo tu na hiyo in access ya hsdpa upande wa internet wakati ile slot nyingine...
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Je ni kweli simu za Samsung Galaxy Note 4 (N910h) hazina uwezo wa network ya 4G LTE?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau napendelea zaidi kutumia wap stlye kuliko desktop style nikingia jamii forum cha ajabu toka juzi niki select wap stlye muonekano unakuwa hivi-kama inavyoonekana hapo chini. setting kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom