Msaada wa kufungua SIMU

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Habari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200

Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini

SIM network unlock PUK

Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani

Mungu awabariki.
 
Uko wapi ???
 
1. Tafuta kasha ulipotolea line..kuna PUK. Jaribu kujaza.. kama huna..

2.Nenda nayo voda shop ya karibu watakusaidia kuunlock. Kama huwezi..

3. Wapigie voda kwa line nyingine.. watakuuliza a bunch of maswali.. mwishon watakutumia PUK za kujaza
 
Habari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200

Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini

SIM network unlock PUK

Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani

Mungu awabariki.
Piga huduma kwa wateja
 
Habari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200

Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini

SIM network unlock PUK

Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani

Mungu awabariki.
Kwa swala la PUK wasiliana na vodacom
 
Nilidhani uko Dar,lakini poa hebu wacheki jamaa zangu hapo Town kichochoro cha karibu na stendi ya Tanganyika kuna mafundi simu wazuri tu.
mkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozo
 
mkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozo
Hiyo inatengenezeka hapo tatizo imei ime corrupt lakini umedandia thread ya mtu mwingine
 
Hahahahaa! Asante sana mkuu, niombe radhi kwa kudandia thread kwa mkuu martini enock

Naomba msaada zaidi namna ya kuitengeneza hio IMEI mkuu
Hiyo utengenezaji wake lazima uwe na tools una rebuild imei unarudisha imei ambayo iko chini ya betri usiweke tofauti na hiyo ya chini ya betri nikosa kisheria siyo kila findi anaweza solve hilo tatizo
 
Naomba maoni zaidi!
 
mkuu betri ilishabadilishwa zaidi ya mara 5 maana hii imenunuliwa kutoka mkono mwingine sio moja kwa moja dukani...

Naomba maoni zaidi!
wewe! ukiondoa betri hapo kwenye simu ndiyo kuna imei za hiyo simu haziwekwi kwenye betri bana
 
wewe! ukiondoa betri hapo kwenye simu ndiyo kuna imei za hiyo simu haziwekwi kwenye betri bana
haha!
sawa mkuu nimekuelewa sana.
Naomba nichukue hatua. Ila sasa shida inakuja, TCRA imeshaibana hii simu. Itakuwaje hapa sasa?
 
Habari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200

Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini

SIM network unlock PUK

Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani

Mungu awabariki.
Tuma neno PUK 07...(namba yako ya simu) kwenda 123
 
Back
Top Bottom