Program ya kuresize passport size

Ashraf omar

Member
Feb 17, 2011
67
49
Habari jamani nmeletewa Kazi ya kuresize passport size iwe katika KB4 naombeeni msaada program itafanya Kazi kwenye computer kama ikishindikana hata kwa simu
Naskia kuna MICROMEDIA FIREWORK 8 lakini nikidownload haipigi Kazi naomba msaada wa hiyo program nitumiwe kwa email au kama file kwenye Whatsaapp naomba msaada au njia mbadala
0767290887
 
Back
Top Bottom