wakuu naombeni msaada mana niliweka mobile ant thief kwenye cm yangu siku za nyuma kidogo sasa baada ya kubadilisha line tu simu inaniambia privacy protection pasword ambazo nimeshazisahau naitaji msaada mana nimeiflash kwa kutumia batan lakini wapi pia nimebackup lkn bado mwenye uelewa zaida naomaba anisaidie...