kasangezi001
Member
- Jan 24, 2017
- 44
- 24
Habari za leo
Waungwana Samsung s3 imekata network ghafla na sijui sababu ni nini.
Naomba tupeane ujuzi hapa ili niweze kuokoa simu yangu